Duuh mkuu hii inauma sana lakini ipo siku lengo lake dada litafikiwa.I have no peace of mind.ni heri nisingeenda shule,niishi gizani kama dada angu anayeniuliza "Mbona Lowasa hatekelezi sera zake wakati nilimpa kura?"
waziri mkuu alitumwa kwenda kuangalia hali ya sukari kagera sugar; Sijui aliuuliza maswali gani.Hiyo ni kweli na inajulikana miaka nend rudi! Ilitakiwa serikali ijipange na kuagiza sukari nje kama ilivyo kawaida! Ila sababu serikali ni one man show asiyeshaurika wanamuachia mwenyewe.....mkono wa chuma
ahahaha,mmukamate na mmutie ndanihizo ni njama za lowasa
Lowasa ndo alinyanyua mdomo wa Magufuli alipotangaza kusitisha uagizwaji wa sukari toka nje?hizo ni njama za lowasa
Magu nchi itamshindaSerikali ilizuia sukari toka nje bila kufanya utafiti wa kina sasa wanatumia ubabe kitu ambacho siyo sahihi. Hii ni dalili mbaya kwa serikali kulumbana na wafanyabiashara na wakati ni soko huria
Hahaha shikamoo lowasa kama siku hizi anamiliki na viwanda vya sukari...hizo ni njama za lowasa
Waswahili wanasema Kamba hukatikia Pabovu,haya wee.Huo ni ukweli sio tetesi, na hakuna nia mbaya
wapi huko ipo bei hiyo,sisi huku ni 4000 kwa kiloBei ya jumla kwa kilo ni 1650. Acha uongo wako wewe. Pia huwa wanasimamisha shughuli zao kipindi cha masika kila mwaka.
Mume wa huyo dadayako ameshatekeleza ahadi zake zote alizo ahidi kwa dadayako? Kama tayari ndipo aanze kusubiri ahadi toka sehemu nyingine alizo ahidiwa.I have no peace of mind.ni heri nisingeenda shule,niishi gizani kama dada angu anayeniuliza "Mbona Lowasa hatekelezi sera zake wakati nilimpa kura?"