Kwa sasa atuna ata kimoja A4 zote tunazotumia hapa nchini ni 100% Imported toka South Africa,India na China MkuuHivi Tanzania tuna viwanda vya kuzalisha karatasi kama vile A4 copy paper ?? kama vipo viko mikoa gani wadau
Unataka kwa jumla au rejareja?Bei za jumla na reja reja mtaani zikoje mdau? kama unazijua nijuze kidogo
Kuna miti ya kutoshaNi opportunity hiyo maana raw materials zipo kwa kweli