Viwanda vya copy paper Tanzania

Viwanda vya copy paper Tanzania

Gwayaka

Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
17
Reaction score
7
Hivi Tanzania tuna viwanda vya kuzalisha karatasi kama vile A4 copy paper ?? kama vipo viko mikoa gani wadau
 
Hivi Tanzania tuna viwanda vya kuzalisha karatasi kama vile A4 copy paper ?? kama vipo viko mikoa gani wadau
Kwa sasa atuna ata kimoja A4 zote tunazotumia hapa nchini ni 100% Imported toka South Africa,India na China Mkuu
 
Mkuu, fikiria kuanzisha cha kwako ili tuwe na kiwanda chetu wenyewe. Toka Mgololo ilipokufa basi tukafilisika.
 
Kwa sasa atuna ata kimoja A4 zote tunazotumia hapa nchini ni 100% Imported toka South Africa,India na China Mkuu
Bei za jumla na reja reja mtaani zikoje mdau? kama unazijua nijuze kidogo
 
Back
Top Bottom