Elections 2010 Viwango duni vya kampeni za...

MawazoMatatu

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2008
Posts
505
Reaction score
63
Jamani hivi hawa wanaongea nini hasa...! mimi binafsi sijawaelewa...Kama watanzania watachagua chama hiki basi Tanzania tuna tatizo kubwa kuliko ninavyofikiri....!

Last edited by a moderator:

Duh ! hii kali
 
Heshima Mawazo matatu,

Mkuu unategemea CCM watawaambia nini wananchi zaidi ya kuwadanganya."If you can't convince them,confuse them",maneno haya yalitamkwa na rais wa 33 wa USA aliyetawala kuanzia mwaka 1945. Nimetazama picha nikabaki nacheka maneno yaliyotamkwa miaka mingi iliyopita bado yanafanyakazi karne ya 21.
 
Last edited by a moderator:
HIvi hawa jamaa wanakaaga na ku evaluate mambo yao wanayofanya kwenye kampeni?mi naona ujinga mtupu
 
Nilifikiri ni mimi peke yangu nimejimix-mix nilipowaangalia. Hawa ndo wataalamu wa sanaa? No wonder ... presha inapanda inashuka...
 
Back
Top Bottom