Duu kwa kwel hii ndo t.z,hapo wanaongeza idad ya wajnga,mm naona wamepunguza ukal wa maneno tu yaan division 0 ikawa 5,upumbavu kwel.Mwalimu anafeli alafu anasomea ualimu na anawafundisha wanafunzi hapo si failer anamfundisha failure,naona tunaongeza idadi ya mazombi tu.