viwango vipya vya ufaulu kwa kidato cha sita kuongezwa ni busara wakati huu?

viwango vipya vya ufaulu kwa kidato cha sita kuongezwa ni busara wakati huu?

ebu fikiria kwanza elimu yetu ilivyokuwa ngumu. co utaketu kuwa ya kimataifa kwa kupandisha grade ,warahicshe kwanza km ilivyo kimataifa na kuboresha faclities
 
inamaana hivyo viwango vipya vya Ufaulu vimewahusisha hata wale wanafunzi waliomaliza kidato cha sita mapema mwaka huu au vitaanza kutumika rasmi kwa wale watakaomaliza kuanzia mwakani.?

Five na six futa, weka elimu mpka la nane. la neen pepa la sita pepa then form four to chuo. Hiyo pesa ya five na six iende kuimarisha o level anda shule ya msingi.
 
Duu kwa kwel hii ndo t.z,hapo wanaongeza idad ya wajnga,mm naona wamepunguza ukal wa maneno tu yaan division 0 ikawa 5,upumbavu kwel.Mwalimu anafeli alafu anasomea ualimu na anawafundisha wanafunzi hapo si failer anamfundisha failure,naona tunaongeza idadi ya mazombi tu.
 
Back
Top Bottom