Viwango vya FIFA kwa Tanzania 30.11.2018

Viwango vya FIFA kwa Tanzania 30.11.2018

kiraremapojoni

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2018
Posts
391
Reaction score
512
VIFUATAVYO NI VIWANGO VYA FIFA KWA NCHI YA TANZANIA KWA WANAUME NA WANAWAKE
FIFA MEN.png
FIFA WOMEN.png

KWA TAKWIMU HIZI INAONYESHA DHAHIRI KAMA WANAWAKE WA TANZANIA WANASAKATA SANA KABUMBU TOFAUTI NA WATANZANIA AU KUNA VIGEZO GANI VYA ZIADA VINAVYOTUMIKA KATIKA RANKINGS ZA NCHI KWENYE VIWANGI VYA FIFA DUNIANI? NAAMINI WADAU NA WACHAMBUZI WA MPIRA WATATUPA DARASA KIDOGO SIE TUNAOAMINI TAKWIMU
 
VIFUATAVYO NI VIWANGO VYA FIFA KWA NCHI YA TANZANIA KWA WANAUME NA WANAWAKEView attachment 951452View attachment 951453
KWA TAKWIMU HIZI INAONYESHA DHAHIRI KAMA WANAWAKE WA TANZANIA WANASAKATA SANA KABUMBU TOFAUTI NA WATANZANIA AU KUNA VIGEZO GANI VYA ZIADA VINAVYOTUMIKA KATIKA RANKINGS ZA NCHI KWENYE VIWANGI VYA FIFA DUNIANI? NAAMINI WADAU NA WACHAMBUZI WA MPIRA WATATUPA DARASA KIDOGO SIE TUNAOAMINI TAKWIMU
Ndugu mapojoni wazima lakini? Samahani kutoka nje ya mada
 
Mwaka huu hatuna hata mchezaji anayegombea tuzo za mwanasoka bora Afrika....
Soka la kutegemea midomo ya kina Manara na Shafii sio soka.
 
Back
Top Bottom