Viwango vya mishahara kutokana na elimu na ngazi mbali mbali je wewe upo wapi

Poleni sana, mnapouliza viongozi wenu wanasemaje?
Kwa awamu iluopita ukiuliza hilo swali watakwambia muhujumu uchumi. Yule baba huwa naangalia picha yake nakumbuka mengi.
Nyepesi nyepesi zilisikika kwamba wengine wa zamani watapandishwa muda ukifika. Nyengine taarifa zikasema kwamba wa zamani watakumbukwa mshahara wa mwezi wa 3 lakin hadi hivi sasa bila bila.
 
Ipo hivo na wameshaanza kula mshahara🤣🤣,wanawazidi mshahara wakongwe,MAGUFULI BWANAA🤣
Hapa mnalinganisha science na art au science kwa science?
Kuna kitu sijaelewa, yaani mwl wa science aliyeanza kazi disemba 2020 kaanza na mshahara wa juu kuliko mwl wa science aliyeanza mwaka 2014?
 
Hiyo ndiyo maana yake,walimu wa sayansi ajira ya Mwaka 2020 wameanza na D2 wakati wakongwe bado wapo na D1.

Dogolasi anakula 756... Dada yake toka Mwaka 2014 anakula 733,ni sayansi walewale
Refer-watumishi halmashauri zote za Lindi.
 
Kuna tatizo mahali
 
Scale za zamani za kale ndugu. Julay 2010 kama sikosei !!
 
Hiyo ndiyo maana yake,walimu wa sayansi ajira ya Mwaka 2020 wameanza na D2 wakati wakongwe bado wapo na D1.

Dogolasi anakula 756... Dada yake toka Mwaka 2014 anakula 733,ni sayansi walewale
Refer-watumishi halmashauri zote za Lindi.
Dah kumbe kweli. Kuna jamaa alinitonya sikuamini pia na wale wenye Elimu Maalumu wameanza na D2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…