Viwango vya soka vilivotolewa leo na FIFA

Viwango vya soka vilivotolewa leo na FIFA

NINI KIFANYIKE KUKUZA SOKA LETU TANZANIA?

  • Tuanzishe Academy za watoto

    Votes: 4 57.1%
  • Turudishe michezo mashule

    Votes: 4 57.1%

  • Total voters
    7

zedonez

Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
12
Reaction score
8
Kwa kiwango hilki lini tutakwenda mbele ?
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2017-09-14 at 14.56.18.jpeg
    WhatsApp Image 2017-09-14 at 14.56.18.jpeg
    96.5 KB · Views: 27
Leo mbona tunalilia viwango vya FIFA? Kuna kipindi huwa tunavipuuza kabisa, haijulikani tunataka nini.

Hata hivyo nimeshangaa wakati juzijuzi tumewapiga Botswana
 
FIFA huwa wana hisabu point unazopata kila mechi na magoli ndio Rank inaongezeka.

Mawazo yangu TFF wanatakiwa waishauri serikali kurudisha michezo mashule ili soka letu likuwe. chukulia mfano Vilabu vyetu vya simba na yanga mchezaji anaesifiwa sana kwenye timu hizo mbili basi sio Mtanzania.
 
hivyo ni viwango tu wala havina impact sana kwa soka letu, maana sio kwamba kuna kipimo maalumu cha kupima viwango vya kisoka
 
hivyo ni viwango tu wala havina impact sana kwa soka letu, maana sio kwamba kuna kipimo maalumu cha kupima viwango vya kisoka
Mpaka vinatolewa unadhani wanaangalia nini? Acha kubeza wakati tumeshindwa kulikuza soka
 
Tatzo tunachanganya mpira na siasa ivo sio rahc kutoboa kimataifa still bdo tumewekeza kwenye siasa
 
Mpaka vinatolewa unadhani wanaangalia nini? Acha kubeza wakati tumeshindwa kulikuza soka
ukiendelea kuamini kwenye hivyo viwango hautakaa kuufurahia mpira wa bongo.
cha muhimu soka lipo, watu wanacheza, fursa zipo, wenye vipaji vyao wanapata nafasi kwenda kucheza hata nje ya nchi, watu wanalipwa, basi inatosha.
Hivyo viwango ni pasua kichwa.
 
Back
Top Bottom