Simba sc inashika nafasi ya 12
Namungo fc inashika nafasi ya 56
Yanga sc inashika nafasi ya 75
Je, kuna nini kinakujia kichwani kwako ewe shabiki mwenzangu wa Yanga?
Tuendelee kuwananga wenzetu wakati kila uchao wanatuacha tu na kupepea kwa kujichimbia kileleni au tuwaige nasisi tuweze kufikia walipofikia au kuwakaribia?
Mashabiki wa yanga wanalishwa sana matango pori kuwa timu yao ni bora hata wakati wa Manji walichukua makombe ya ndani ila kimataifa hawakuwa na maarifa