Mtu anafanya kosa linaigharimu timu bado unamuona wa maana , mapenzi ni upofuMzamiru alistahili 9 lakini kwa ile faulo ndio ikawa 8.2
Mzamiru siyo mchezaji. Ni mashine iliyofanya viungo wote wa Yanga washindwe kufanya lolote. Aliwatia kwenye mfuko wote.
unaona hizo rate wewe chura??? mnajizimaga data sanaMimi nimekwambia Hakuna Mchezaji wa kumrate 9 out of 10. Hata kama ni mapenzi muwe mnaongea uhalisia siyo kusombwa na ufurukutwa.
Umemrate mchezaji 9.2 Kwamba madhaifu yake yalikuwa 0.8 pekee? Siyo huyu Kila shabiki wa Simba anamlaumu Kwa maamuzi mabovu zaidi ya x5?
Mtu anafanya kosa linaigharimu timu bado unamuona wa maana , mapenzi ni upofu
Mzamiru alimaliza kazi yake kumuweka Aucho chini. Ilibaki kazi ya Manula na beki wake kuzuia faulo.Kisha Akamuweka Aucho Chini Karibu Na Box, Aziz Akawatia Kamba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa Nani kajizima data Sasa? Kwenye chati yako ipi ni Simba na ipi ni Yanga? Yaani Sergio Ramos Yuko Yanga na Mbappe anachezea Simba?unaona hizo rate wewe chura??? mnajizimaga data sanaView attachment 2398177
nenda kanywe dawa zako za ARVs virusi vinakupelekesha sana, "ulisema hakuna namna unaweza kum-rate mchezaji 9.2 out of 10, nimekuwekea hapo mbape amekuwa rated 10/10Hapa Nani kajizima data Sasa? Kwenye chati yako ipi ni Simba na ipi ni Yanga? Yaani Sergio Ramos Yuko Yanga na Mbappe anachezea Simba?