Viwango vya wachezaji kwenye Derby ya 23.10.2022

Viwango vya wachezaji kwenye Derby ya 23.10.2022

Mzamiru siyo mchezaji. Ni mashine iliyofanya viungo wote wa Yanga washindwe kufanya lolote. Aliwatia kwenye mfuko wote.

Kisha Akamuweka Aucho Chini Karibu Na Box, Aziz Akawatia Kamba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nimekwambia Hakuna Mchezaji wa kumrate 9 out of 10. Hata kama ni mapenzi muwe mnaongea uhalisia siyo kusombwa na ufurukutwa.

Umemrate mchezaji 9.2 Kwamba madhaifu yake yalikuwa 0.8 pekee? Siyo huyu Kila shabiki wa Simba anamlaumu Kwa maamuzi mabovu zaidi ya x5?
unaona hizo rate wewe chura??? mnajizimaga data sana
IMG_20221026_094904.jpg
 
Hapa Nani kajizima data Sasa? Kwenye chati yako ipi ni Simba na ipi ni Yanga? Yaani Sergio Ramos Yuko Yanga na Mbappe anachezea Simba?
nenda kanywe dawa zako za ARVs virusi vinakupelekesha sana, "ulisema hakuna namna unaweza kum-rate mchezaji 9.2 out of 10, nimekuwekea hapo mbape amekuwa rated 10/10
 
Back
Top Bottom