Viwango vya wanahabari wetu Tanzania viko chini sana

Viwango vya wanahabari wetu Tanzania viko chini sana

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Nilikuwa nasikiliza vyombo vya habari fulani wakati wanahabari wa vyombo hivyo wakimhoji Juma Mgunda kuhusu kwanini wamemuacha Manula kwenye kikosi cha timu ya Taifa. Waandishi hao wanalazimisha ionekanane kama vile Manula kaonewa kuachwa kwenye kikosi, yaani wanachanganya na unazi wa timu wanayoshabikia. Wanashindwa kufahamu kuwa hakuna mwalimu anayependa timu yake kupoteza mechi wakati kuna mchezaji ambaye angesababisha timu isifungwe kama angecheza.

Mbwana Samatta alivyotua nchini maswali aliyoulizwa na waandishi wetu kuhusu goli la Liverpool na kuhamia timu za Uingereza ni ya kiwango cha chini sana kwa ngazi ya Samatta, hata Mbwana aliona ni kero.

Baadhi ya waandishi wetu hawana weledi wa kutosha hata utakapowasikiliza wakati wa kudadavua mada zinazohusu general knowledge.

Ni kero hata anapotangaza mechi ya mpira wa miguu, huwa wanainamisha uwanja kwa kutangaza mpira wa timu moja.

Wanaboa
 
Umesema jambo la maana sana kiongozi. Sikiliza hata vipindi vya michezo watangazaji wanapowahoji makocha, wachezaji au hata viongozi wa timu, huwa wana interview kwa staili ya u comedy comedy hivi

Utaskia " Kocha umesema mnatarajia kufanya vizuri kwenye mechi hiyo hayo sio maneno ya kujitetea tu hayo maana naona kama unapepesa macho na kutikisa masikio"! Hawaulizi maswali ya kiufundi kwasababu wengine hata mpira wenyewe hawaujui kuuchambua

Mtu kama Maulid Kitenge kwa mfano yuko vizuri kidogo kwenye siasa za mpira na figisufigisu zake hasa za soka la ndani tena la hapa Dar hususan za Yanga, lakini kwenye aspect ya mpira hajui lolote ni comedian tu. Bahati mbaya vijana wengi wanaoingia kwenye tasnia ya utangazaji wa habari za michezo eti wanamuiga kwa kumuona role model wao!!!

Utakuta hata kwenye serious sports interviews na watu makini kama makocha wa vilabu au wa National Team akiwa na wenzake wanaojua uchambuzi wa mpira, yeye ndio anaharibu flow ya mazungumzo kwa kuchomekea maneno yake yasiokua na weledi wa soka na sanasana atakimbilia kuanza kusoma meseji za wasikilizaji ambazo zingine ni kama mipasho tu huku akiwa kawakatisha kina Edo Kumwembe na wachambuzi wengine makini kuelezea vitu vya maana
 
Umesema jambo la maana sana kiongozi. Sikiliza hata vipindi vya michezo watangazaji wanapowahoji makocha, wachezaji au hata viongozi wa timu wana interview kwa staili ya u comedy comedy hivi

Utaskia " Kocha umesema mnatarajia kufanya vizuri kwenye mechi hiyo hayo sio maneno ya kujitetea tu hayo maana naona kama unapepesa macho na kutikisa masikio"! Hawaulizi maswali ya kiufundi kwasababu wengine hata mpira wenyewe hawaujui kuuchambua

Mtu kama Maulid Kitenge kwa mfano yuko vizuri kidogo kwenye siasa za mpira na figisufigisu zake hasa za soka la ndani tena la hapa Dar hususan za Yanga, lakini kwenye aspect ya mpira hajui lolote ni comedian tu. Bahati mbaya vijana wengi wanaoingia kwenye tasnia ya utangazaji wa habari za michezo eti wanamuiga kwa kumuona role model wao!!!

Utakuta hata kwenye serious sports interviews na watu makini kama makocho akiwa na wenzake wanaojua uchambuzi wa mpira, yeye ndio anaharibu flow ya mazungumzo kwa kuchomekea maneno yake yasiokua na weledi wa soka na sanasana atakimbilia kuanza kusoma meseji za wasikilizaji ambazo zingine ni kama mipasho tu huku akiwa kawakatisha kina Edo Kumwembe na wachambuzi wengine makini kuelezea vitu vya maana

Ha ha ha ha, na hawa ndo wanaonekana wanajua yaani ni hatari. Lakini pia tukubaliane Watanzania wengi uwezo wao kuchambua mambo na kuyaelewa ni mdogo kwahiyo waandishi wa aina hii ndoo wanaoeleweka zaidi,Clouds wanajitahidi kuwa professional ndio maana hata mashabiki wao unaona wanna utofauti. Tatzo lilipo tasnia ya habari tumekubali iwe tasnia ya watu waliofeli na kukosa cha kufanya basi ndio waende huko, matokeo yake ndio hayo. Kuna mtu anitwa Ahmed Alli, pale AZAM TV Kuna wakati unajiuliza inakuwaje ana behave vile, yaani lazima ataweka tu ule uswahili uswahili, unajiuliza hivi huyu haoni kama anashusha hadhi ya hiyo MEDIA!
 
Nilikuwa nasikiliza vyombo vya habari fulani wakati wanahabari wa vyombo hivyo wakimhoji Juma Mgunda kuhusu kwanini wamemuacha Manula kwenye kikosi cha timu ya Taifa. Waandishi hao wanalazimisha ionekanane kama vile Manula kaonewa kuachwa kwenye kikosi, yaani wanachanganya na unazi wa timu wanayoshabikia. Wanashindwa kufahamu kuwa hakuna mwalimu anayependa timu yake kupoteza mechi wakati kuna mchezaji ambaye angesababisha timu ifungwe kama angecheza.

Mbwana Samatta alivyotua nchini maswali aliyoulizwa na waandishi wetu kuhusu goli la Liverpool na kuhamia timu za uingereza ni ya kiwango cha chini sana Kwa ngazi ya Samatta, hata Mbwana aliona ni kero.

Baadhi ya Waandishi wetu hawana weledi wa kutosha hata utakapowasikiliza wakati wa kudadavua mada zinazohusu general knowledge.

Ni kero hata anapotangaza mechi ya mpira wa miguu, huwa wanainamisha uwanja Kwa kutangaza mpira wa timu moja.

Wanaboa
Form 4 zenye zirohizo unasema watangazaji.
 
Waandishi wa kuandika na kuchambua bahari hususani za Michelzo wapo wazuri lakini wachache sana, Kitenge ni mzuri kwa mahojiano ya papo kwa papo nilichogundua uwa anakua na data za kutosha kuhusu anaye mhoji na anacho kihoji eneo ilo amefanana fanana na Ahmed Lyongo katika vitu fulani fulani vilevile kwenye kuhoji amefanana na Abdalah majura kwa maswali ya mfululizo.

Oscar Oscar, Jemedari, George Ambangile, awajamaa wana weredi kutosha kupewa nafasi ili wewe na Makala katika Magazeti.
 
Mkuu naomba nitofautiane na wewe kidogo kuhusu uwezo na style anayotumia Maulid Kitenge kufanya interviews zake na wanamichezo hususan wanasoka.

Nikweli kuna baadhi ya mambo hasa kuhusu "siasa" za mpira wa Tanzania hususan za timu za Dar anazijua vyema na hata anapoongea hasa na viongozi wa vilabu ikiwemo wasemaji au maafisa habari anakua anajua anachokiuliza

Katika hilo nililosema hapo juu sikubaliani na style yake ya kuhoji. Anakua kama yupo mahakamani pale ambapo wakili wa mshtakiwa anamihoji shahidi wa upande mashtaka(cross examination).

Mahojiano ya aina ile hayampi mtu nafasi ya kujibu kiweledi ili wasikilizaji wafaidike na taarifa za kina na zilizotulia kutoka kwa muhusika. Sidhani kama ni uweledi kumuhoji kocha " mlisema mtshinda leo mbona mmepapaswa" au "unasema mtashinda je mkifungwa?" Kwangu mimi huo ni ukanjanja kwani jibu unalolitaka halina maana yoyote zaidi ya vichekesho vya futuhi.

Kwenye suala la technical uwanjani ndio yuko mtupu kabisaa. Ila mjanja anajua kuji position akiwa siku zote kazunguukwa na watu wenye utaalamu wa soka ila kuna wakati ana bore akiwa kama host wa kipindi. Wenzake wanataka kuchambua vitu serious yeye anataka mambo mepesi kama kusoma meseji za wasikilizaji ambazo zingine ama zimeandikwa na mtu mmoja aua hazina mchango saana kweje jambo linalojadiliwa zaidi ya kupoteza muda.

Aidha ni kweli sauti yake inafanana na ya mtangazaji wa muda mrefu kidogo, Abubakar Lyongo lakini Abuu yupo makini zaidi.
 
Kuna muda unaulizwa swali la kipuuz na Kitenge wakati una angaika na upuuz linakuja swali lingine linalotaka utumie akili kujibu kwaiyo wewemhusika unatakiwa uwe mtulivu kwakua ayo maswali yanakuja kwa kasi, Halafu izo msg ndio za wadau/wasikilizaji wa kipindi inabidi uzisome ili wahisi unawajali na wao wanahisi ni sehemu ya kipindi husika.
 
Kwa faida ya wasikilizaji na watazamaji mtangazaji aulize maswali yatakayosababisha mtaalam apate nafasi ya kutoa utaalamu wake kwenye jambo husika ili kila mdau/msikilizaji/mtazamaji afyonze mwenyewe moja kwa moja alichokisikia kwa kiwango chake na sio mtangazaji kutanguliza maslahi yake binafsi na kundi lake, au kusababisha mtaalamu apandwe na jazba na kutoka nje ya mada kabla hajamaliza kuongea vitu vya msingi. Ndio maana mwandishi mahiri huwa anauliza mwisho maswali yote yenye kupandisha jaziba.

Watangazaji wetu wanalazimisha mtaalam ajibu kile kinachowafurahisha wao na kundi lao. Hawana ufahamu mpana kwenye jambo husika wanalomuuliza mtaalam.
 
Nilikuwa nasikiliza vyombo vya habari fulani wakati wanahabari wa vyombo hivyo wakimhoji Juma Mgunda kuhusu kwanini wamemuacha Manula kwenye kikosi cha timu ya Taifa. Waandishi hao wanalazimisha ionekanane kama vile Manula kaonewa kuachwa kwenye kikosi, yaani wanachanganya na unazi wa timu wanayoshabikia. Wanashindwa kufahamu kuwa hakuna mwalimu anayependa timu yake kupoteza mechi wakati kuna mchezaji ambaye angesababisha timu isifungwe kama angecheza.

Mbwana Samatta alivyotua nchini maswali aliyoulizwa na waandishi wetu kuhusu goli la Liverpool na kuhamia timu za uingereza ni ya kiwango cha chini sana Kwa ngazi ya Samatta, hata Mbwana aliona ni kero.

Baadhi ya Waandishi wetu hawana weledi wa kutosha hata utakapowasikiliza wakati wa kudadavua mada zinazohusu general knowledge.

Ni kero hata anapotangaza mechi ya mpira wa miguu, huwa wanainamisha uwanja Kwa kutangaza mpira wa timu moja.

Wanaboa
uko sahihi sana na hasa hawa CLOUDS FM na watangazaji wao Shafi dauda,Edgar Kibwana,Luambano,Issa Maeda ni very poor and hopeless katika hiyo kazi!
 
Tatizo wamiliki wa vyombo vya habari wanapenda watu cheap hawataki kulipa pesa kwa mtu mwenye uelewa na elimu yake ndio maana tunapata waandishi feki.
 
Mkuu naomba nitofautiane na wewe kidogo kuhusu uwezo na style anayotumia Maulid Kitenge kufanya interviews zake na wanamichezo hususan wanasoka.

Nikweli kuna baadhi ya mambo hasa kuhusu "siasa" za mpira wa Tanzania hususan za timu za Dar anazijua vyema na hata anapoongea hasa na viongozi wa vilabu ikiwemo wasemaji au maafisa habari anakua anajua anachokiuliza

Katika hilo nililosema hapo juu sikubaliani na style yake ya kuhoji. Anakua kama yupo mahakamani pale ambapo wakili wa mshtakiwa anamihoji shahidi wa upande mashtaka(cross examination) .

Mahojiano ya aina ile hayampi mtu nafasi ya kujibu kiweledi ili wasikilizaji wafaidike na taarifa za kina na zilizotulia kutoka kwa muhusika. Sidhani kama ni uweledi kumuhoji kocha " mlisema mtshinda leo mbona mmepapaswa" au "unasema mtashinda je mkifungwa?" Kwangu mimi huo ni ukanjanja kwani jibu unalolitaka halina maana yoyote zaidi ya vichekesho vya futuhi

Kwenye suala la technical uwanjani ndio yuko mtupu kabisaa. Ila mjanja anajua kuji position akiwa siku zote kazunguukwa na watu wenye utaalamu wa soka ila kuna wakati ana bore akiwa kama host wa kipindi. Wenzake wanataka kuchambua vitu serious yeye anataka mambo mepesi kama kusoma meseji za wasikilizaji ambazo zingine ama zimeandikwa na mtu mmoja aua hazina mchango saana kweje jambo linalojadiliwa zaidi ya kupoteza muda

Aidha ni kweli sauti yake inafanana na ya mtangazaji wa muda mrefu kidogo, Abubakar Lyongo lakini Abuu yupo makini zaid
Ukizungumzia sports reporter au journalist ambaye ni professional huyo Kitenge bado sana..anazidiwa hata na Alex Lwambano wa Clouds Fm
 
Ni Watanzania karibu wote tu hawajui kujieleza wala kujipambanua kimawazo! Ndio hawa wamejaa humu JamiiForums wanajadili udaku na staili za ngono!
 
Sababu vigezo ni kuwa mtu akifeli ndiye anaenda somea uandishi.
 
uko sahihi sana na hasa hawa CLOUDS FM na watangazaji wao Shafi dauda,Edgar Kibwana,Luambano,Issa Maeda ni very poor and hopeless katika hiyo kazi!
Kuwafahamu makocha na wachezaji wa timu za Ulaya haimaanishi kuwa wewe ni mtangazaji mzuri wa habari za michezo
 
Hahahahaha nimuda mrefu niliacha kuwa wasikiliza waandishi was Kibongo kwamaana kila wanacho uliza na mimi nabaki na maswali.
 
hahahahaha nimuda mrefu niliacha kuwa wasikiliza waandishi was kibongo kwamaana kila wanacho uliza na Mimi nabaki na maswali
Wasikilize tu mkuu vinginevyo hutayajuwa mapungufu yao. Wao wanadhani kuwafahamu wachezaji wa timu za ulaya kunatosha kuwa waandishi wa habari za michezo. Siku zote nilazima wainamishe mazungumzo yao kuelekea kule wanakokuamini na wanavyoelewa wao kiasi cha kuwakosesha raha wanaowasikiliza.

Utamsikia mtangazaji anamuuliza maswali ya kipuuzi mtaalam, mtaalam akistukia upuuzi wa maswali yake utangazaji anamwambia "wacha kujaa sumu wewe jibu maswali yangu".
 
wachambuzi bora: Ali Mayai, Ibrahim Masoud Maestro, Edo ni mzuri gazetini
 
Back
Top Bottom