Viwango vya wanahabari wetu Tanzania viko chini sana

Viwango vya wanahabari wetu Tanzania viko chini sana

Nilikuwa nasikiliza vyombo vya habari fulani wakati wanahabari wa vyombo hivyo wakimhoji Juma Mgunda kuhusu kwanini wamemuacha Manula kwenye kikosi cha timu ya Taifa. Waandishi hao wanalazimisha ionekanane kama vile Manula kaonewa kuachwa kwenye kikosi, yaani wanachanganya na unazi wa timu wanayoshabikia. Wanashindwa kufahamu kuwa hakuna mwalimu anayependa timu yake kupoteza mechi wakati kuna mchezaji ambaye angesababisha timu isifungwe kama angecheza.

Mbwana Samatta alivyotua nchini maswali aliyoulizwa na waandishi wetu kuhusu goli la Liverpool na kuhamia timu za uingereza ni ya kiwango cha chini sana Kwa ngazi ya Samatta, hata Mbwana aliona ni kero.

Baadhi ya Waandishi wetu hawana weledi wa kutosha hata utakapowasikiliza wakati wa kudadavua mada zinazohusu general knowledge.

Ni kero hata anapotangaza mechi ya mpira wa miguu, huwa wanainamisha uwanja Kwa kutangaza mpira wa timu moja.

Wanaboa
Nadhani wengi si waandishi bali watu walochungulia fursa au wanapenda fani lakini haWana weledi bado naamini wapo waandishi wazuri ila wanakuwa overshadowed na makanjanja kuna waandishi wazuri sema inawezekana mfumo wa sasa wanajikuta wameaachwa nje ya mfumo mpya wa digitali. Wengi wanashindana kuwa wa kwanza kutoa habari mwandishi lazima awe ni mtu mwemye maarifa na kitu anachokifanya ila wengi waliopo sasa na unaowaona ni wale wenye vichannel you tube na blogs tusiwahukumu kwa ujumla wao.
 
Nilikuwa nasikiliza vyombo vya habari fulani wakati wanahabari wa vyombo hivyo wakimhoji Juma Mgunda kuhusu kwanini wamemuacha Manula kwenye kikosi cha timu ya Taifa. Waandishi hao wanalazimisha ionekanane kama vile Manula kaonewa kuachwa kwenye kikosi, yaani wanachanganya na unazi wa timu wanayoshabikia. Wanashindwa kufahamu kuwa hakuna mwalimu anayependa timu yake kupoteza mechi wakati kuna mchezaji ambaye angesababisha timu isifungwe kama angecheza.

Mbwana Samatta alivyotua nchini maswali aliyoulizwa na waandishi wetu kuhusu goli la Liverpool na kuhamia timu za uingereza ni ya kiwango cha chini sana Kwa ngazi ya Samatta, hata Mbwana aliona ni kero.

Baadhi ya Waandishi wetu hawana weledi wa kutosha hata utakapowasikiliza wakati wa kudadavua mada zinazohusu general knowledge.

Ni kero hata anapotangaza mechi ya mpira wa miguu, huwa wanainamisha uwanja Kwa kutangaza mpira wa timu moja.

Wanaboa
Mkuu Tanzania ukijua kuchekesha tu wewe ni mwanahabari unakabidhiwa kipindi kutangaza.
 
Nilikuwa nasikiliza vyombo vya habari fulani wakati wanahabari wa vyombo hivyo wakimhoji Juma Mgunda kuhusu kwanini wamemuacha Manula kwenye kikosi cha timu ya Taifa. Waandishi hao wanalazimisha ionekanane kama vile Manula kaonewa kuachwa kwenye kikosi, yaani wanachanganya na unazi wa timu wanayoshabikia. Wanashindwa kufahamu kuwa hakuna mwalimu anayependa timu yake kupoteza mechi wakati kuna mchezaji ambaye angesababisha timu isifungwe kama angecheza.

Mbwana Samatta alivyotua nchini maswali aliyoulizwa na waandishi wetu kuhusu goli la Liverpool na kuhamia timu za Uingereza ni ya kiwango cha chini sana kwa ngazi ya Samatta, hata Mbwana aliona ni kero.

Baadhi ya waandishi wetu hawana weledi wa kutosha hata utakapowasikiliza wakati wa kudadavua mada zinazohusu general knowledge.

Ni kero hata anapotangaza mechi ya mpira wa miguu, huwa wanainamisha uwanja kwa kutangaza mpira wa timu moja.

Wanaboa
Ndugu mimi nimekuwa nikihoji elimu ya uandishi wa habari kwa hawa waandishi wa habari wa hapa kwetu wanaipata wapi? Au ni wahariri? Yaani utaangalia habari za Tanzania kama huna kifurushi cha televisheni za nje, tunashindwa hata na jirani zetu Uganda na kenya. Cha ajabu haohao wakienda BBC,DW wanatangaza tofauti na wanavyofanya hapa nyumbani. Nawashauri waandishi wa hapa kwetu muwe mnaangalia vyombo vya nje wanavyotangaza mnalinganisha na mnavyofanya hapa, kama hamuoni tofauti au mkiona ninyi ni bora muombe jirani zenu waje wawasaidie kuwaonesha tofauti ilipo na kuwaeleza yapi ni matangazo bora. Kwa kifupi Watanzania wengi sasa hivi hawaangalii vyombo vya hapa nchini kwa udhaifu wanaouonesha
 
Mtangazaji mmoja wa michezo alikuwa anaongelea habari kuhusu Drogba kutaka kuomba ridhaa ya kuliongoza shirikisho la mpira la ivory coast baada ya uongozi wa sasa wa shirikisho hilo kumaliza muda wake. Lakini mtangazaji wakati wa kudadavua kama wa ivory coast watampa Didie Drogba au la mtangazaji huyo akasema wanaweza kumpa Drogba kama sample size ili waone kama mtu wa mpira kama Drogba anaweza kuleta mabadiliko chanya kwenye mpira nchini humo.

Hebu ona namna neno "sample size" lilivyotumika hapa kwenye chombo kinachosikilizwa na dunia nzima. Tungemetemea mwandishi angetumia neno "pilot study" au "Guinea pig" badala ya sample size. Waandishi wetu wanatutia aibu Sisi jamanii
 
hawa waandishi kazi ni kuandika majungu na umbeya wanaweza kumwandama mchezaji wakidai kiwango kimeshuka au kocha hana uwezo sijui wakifukuzwa wanazani hizo pesa zitaenda kwao
 
uko sahihi sana na hasa hawa CLOUDS FM na watangazaji wao Shafi dauda,Edgar Kibwana,Luambano,Issa Maeda ni very poor and hopeless katika hiyo kazi!
Afu kwenye kipindi chao Wana mtu anaitwa Mbwige,sijui role yake huwa ni Nini kwenye kile kipindi.
 
Back
Top Bottom