Am a star
Senior Member
- Sep 22, 2015
- 167
- 158
UPDATE:
Viwanja kwa bei ya M1.8 kimebaki kimoja. eneo jingine bei ni juu kidogo.
LOCATION:
Mabwepande, Dar es salaam
Zinapogeuzia daladala za kutoka Makumbusho hadi kwenye viwanja ni kama umbali wa kutoka makumbusho stand hadi Sayansi.
Umeme na maji ni mita 200 kutokea viwanja vilipo.
zinapimwa kuanzia hatua 20 kwa 20 za mtu mrefu. taratibu zote za kuandikishana zitaongozwa na serikali ya mtaa.
USAFIRI:
kwa daladala kutoka Mabwepande kwenda makumbusho nauli 700.
kwa pikipiki kutoka mabwepande kwenda bunju B, nauli 1500/2000.
KUMBUKA
* Kituo kikubwa cha polisi cha kisasa ukanda wa kinondoni kimekamilika na kinafanya kazi.
* Hospitali kubwa ya serikali ukanda huu ukiacha Mwananyamala iko hatua za mwisho.
PIGA SIMU NAMBA 0714274799 Kwa maelekezo zaidi.
wahi sasa ili upate nafasi ya kuunganisha hata viwili kutokea upande wowote utakaopenda.
#usipomiliki Ardhi utaishi kama mtumwa.