Plot4Sale Viwanja bei nafuu Mbezi Msakuzi

Plot4Sale Viwanja bei nafuu Mbezi Msakuzi

Augustking

Senior Member
Joined
May 25, 2019
Posts
118
Reaction score
188
Ofa ofa tshs 30,000 na 25,000 tu kwa sqm moja

Viko: mbezi msakuzi

Mahali: msakuzi kwa lipe.

Umbali mita 500m mpaka masakuzi center pia kutoka msakuzi mpaka njia panda ya goba na makabe 4km.

Viwanja vizuri sana vimepimwa vyenye beacons vyote viko tambarare vinatofautiana ukubwa ata sqm kwa kila kimoja.

Malipo ni cash only hatuna installment.

Nyaraka za umiliki vina sales agreement toka kwetu @eraph_real_estate ambao ndio wamiliki wa mradi huu

#maji

#umeme vyote vipo kwa ukaribu na mradi

#nb: utaratibu wa kuja kuonyeshwa viwanja hivi kwanza tuma msg

Simu au whatsapp: 0759702766

Utatumiwa ramani ya mradi ili kuona idadi mpya ya viwanja vilivyobaki ukipenda grarama zetu ni 5000 kwa serveyor wetu #hamadi mdudu au john kwikwi kukuonyesha site ilipo.

IMG_20210322_143656_386.jpg
IMG_20210322_143639_810.jpg
IMG_20210322_143612_657.jpg
 
Mkuu kumbe kuna sehemu square meter moja ni 30 elfu mpaka 25 elfu

Kibada nina ma(sqm) 1749 na kina hati fresh.
Napiga mahesabu mate ya uchu yanimwaika.
 
Ndio maana nikataja KIBADA..

kama unajua gharama za sqm kibada zikoje?

Ukitaka upige hela vigawanishe kwa 400sqms kila utapata 3 (1,200sqms) kinachobakia 549 uza kama kilivyo

Kwa kibada i heard that ni 12,000 to 15,000 per sqm ingawa sina uhakika

Ila pia inategemea na eneo, umbali, kikoje tambarale au mabonde, umeme maji pia majirani nk
 
Ahsante kwa maarifa chief.
 
Back
Top Bottom