Havina hati vina karatas ya maandkshano kutoka serikal ya mtaa na ukitaka kununua tunaeza andkshana kwa mwanasheria au mahakan na hii inafanyka ili kuondoa wasawas kwa Wateja wetu na hii inachangiwa na watu wasio waaminifu na wny tamaa katka kazVina hati
Yasije kuwa ya Mloganzila na KashangakiViwanja kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne vinapatkana kwa ukubwa wa 20×20,20×40huduma muhim zinapatkana kwa ukaribu sana
Contact; 0656 698232
Mkuu hii Kaz ndo inanifanya naendesha maisha yngu kila siku so siitaj kuifanya kijanja bali naitaj umakin na uaminifu wa hali ya juu huku ukimwomba Mungu kwa bidii nafkr hilo lipo katka kila kaz wapo watu nmefanya nao biashara mpka leo wao ndo mabaloz wangu wanaleta WatejaYasije kuwa ya Mloganzila na Kashangaki
Bei ya mashamba ikoje mkuu?Mashamba yanapatkana mkuu lkn sio hapa mjin chanika unasogea mbele sehem za ndn ndan kama omboza,kitanga,msanga,majumba sita,masak,kibesa,kisanga...
Bei ya mashamba ipo tofaut kdgo kutokana na eneo lilipo mfano;..Bei ya mashamba ikoje mkuu?
Bei ya mashamba ipo tofaut kdgo kutokana na eneo lilipo mfano;..
1.Kitanga Shamba lipo hekar 13 zina minaz,mifenes michungwa lkn Shamba halijafanyiwa usaf kwa kwa muda kdgo each hekar 2mil
2.Omboza Shamba hekar 5 lina mazao limefanyiwa usaf each hekar 5mil
3.Msanga zalala Shamba hekar 6 limefamyiwa usaf muda kdgo each hekar 3.5 mil
4.kibesa Shamba hekar 9 limefanyiwa usaf kidgo each hekar 3mil
5.mwanzo mgumu shamba Lina mazao each hekar 1.8mil