Plot4Sale Viwanja Chanika 2.3ml

Plot4Sale Viwanja Chanika 2.3ml

Kwa kibaoni viwanja viko sehemu nzuri sana mimi nilinunua 20x20 mwz wa 2 mwaka huu. Nilipapenda sana tambarare, umeme uko karibu hlf karibu na lami
 
Viwanja kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne za kijamii vinapatkana kwa ukubwa wa 20×20, huduma muhim zinapatkana
39db02452d79c7b3e7174b019cb90a9b.jpg
 
Viwanja kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne vinapatkana ukubwa 20×20,20×40huduma muhim zinapatkana kwa ukaribu sana
279192ae53c268ab87dc46fcf947b73f.jpg

Contact; 0656 698232
 
Vina hati
Havina hati vina karatas ya maandkshano kutoka serikal ya mtaa na ukitaka kununua tunaeza andkshana kwa mwanasheria au mahakan na hii inafanyka ili kuondoa wasawas kwa Wateja wetu na hii inachangiwa na watu wasio waaminifu na wny tamaa katka kaz
 
Viwanja kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne vinapatkana kwa ukubwa wa 20×20,20×40huduma muhim zinapatkana kwa ukaribu sana
Contact; 0656 698232
489b4dd15a693844259b7641ef15fcb4.jpg
 
Yasije kuwa ya Mloganzila na Kashangaki
Mkuu hii Kaz ndo inanifanya naendesha maisha yngu kila siku so siitaj kuifanya kijanja bali naitaj umakin na uaminifu wa hali ya juu huku ukimwomba Mungu kwa bidii nafkr hilo lipo katka kila kaz wapo watu nmefanya nao biashara mpka leo wao ndo mabaloz wangu wanaleta Wateja
 
Vipi mashamba yanapatikana?
Mashamba yanapatkana mkuu lkn sio hapa mjin chanika unasogea mbele sehem za ndn ndan kama omboza,kitanga,msanga,majumba sita,masak,kibesa,kisanga...
 
Bei ya mashamba ikoje mkuu?
Bei ya mashamba ipo tofaut kdgo kutokana na eneo lilipo mfano;..
1.Kitanga Shamba lipo hekar 13 zina minaz,mifenes michungwa lkn Shamba halijafanyiwa usaf kwa kwa muda kdgo each hekar 2mil

2.Omboza Shamba hekar 5 lina mazao limefanyiwa usaf each hekar 5mil

3.Msanga zalala Shamba hekar 6 limefamyiwa usaf muda kdgo each hekar 3.5 mil

4.kibesa Shamba hekar 9 limefanyiwa usaf kidgo each hekar 3mil

5.mwanzo mgumu shamba Lina mazao each hekar 1.8mil
 
Bei ya mashamba ipo tofaut kdgo kutokana na eneo lilipo mfano;..
1.Kitanga Shamba lipo hekar 13 zina minaz,mifenes michungwa lkn Shamba halijafanyiwa usaf kwa kwa muda kdgo each hekar 2mil

2.Omboza Shamba hekar 5 lina mazao limefanyiwa usaf each hekar 5mil

3.Msanga zalala Shamba hekar 6 limefamyiwa usaf muda kdgo each hekar 3.5 mil

4.kibesa Shamba hekar 9 limefanyiwa usaf kidgo each hekar 3mil

5.mwanzo mgumu shamba Lina mazao each hekar 1.8mil

Fanya kunicheki apa! 0767476055
 
Viwanja kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne vinapatkana kwa ukubwa wa 20×20huduma muhim zinapatkana kwa ukaribu nafas ya mazungumzo ipo kwa muhtaj wa kwel
 
Viwanja kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne vinapatkana kwa ukubwa 20×20,20×40huduma muhim zinapatkana kwa ukaribu sanar
Contact; 0656 698232
4628726318ca22982d928b371dd67007.jpg
 
Viwanja kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne vinapatkana kwa ukubwa wa 20×20,20×40huduma muhim zinapatkana viwanja vipo karbu na anapoish Oscar jushua wa Yanga
 
Viwanja vipo kweny Raman ya makaz kwa ajil ya ujenz
Contact; 0656 698232
 
Back
Top Bottom