ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Mkuu Viwanja vipo mfumo wa squatter havina hat lkn vipo kwny Raman ya makaz kwa hyo sasa vina hat inayoandkishwa serikal ya mtaa so biashara tunaandkshana mahakaman au ofis za serikal ya mtaa, viwanja vina ukubwa wa 16m ×18 ambayo n sawasawa na miguu 20×22=3.5mil lkn pia kuna vya ukubwa wa 12m×12m sawa n miguu 16×16=2.5milhivyo viwanja vina ukubwa gani mkuu na vina hati au ni vya kupima kwa foot pls weka ukubwa wa eneo mkuu
Vimepimwa kwa mfumo wa squatter ni mita 17urfu×17upana ambayo n sawa na miguu 20/20 ya MTU MZIMA pia ukitaka viwanja vilivyopmwa na wizara ya ardh vipo lkn bei yake imechangamkamkuu kiwanja kimepimwa au ndo ile foot za joseph tofauti na ali, mimi natafuta kilichopimwa
Ukubwa wa viwanja, umbali kutoka barabara, viwanja vya kupima kutoka kwenye mashamba au vina hati?Mkuu hero naomba niulze nikjib ukubwa 20/20
Tafadhali kuna kiwanja (chenye hati ya serikali ) na shamba (halina hati siku yoyote serikali inavunja) ayo maeneo unavyonadi ni aina gani? Dalali ebu tufafanulieMkuu Viwanja vipo mfumo wa squatter havina hat lkn vipo kwny Raman ya makaz kwa hyo sasa vina hat inayoandkishwa serikal ya mtaa so biashara tunaandkshana mahakaman au ofis za serikal ya mtaa, viwanja vina ukubwa wa 16m ×18 ambayo n sawasawa na miguu 20×22=3.5mil lkn pia kuna vya ukubwa wa 12m×12m sawa n miguu 16×16=2.5mil