Plot4Sale Viwanja Chanika 2.3ml

Plot4Sale Viwanja Chanika 2.3ml

hivyo viwanja vina ukubwa gani mkuu na vina hati au ni vya kupima kwa foot pls weka ukubwa wa eneo mkuu
 
Viwanja vpo mfumo wa squatter havina hat kutoka wizara ya ardhi BT vipo kwny Raman ya makaz kwa hyo bas vina hati zinazoandkshwa serikal ya mtaa so biashara tunaeza andkishiana mahakaman au ofis ya serikal ya mtaa
 
hivyo viwanja vina ukubwa gani mkuu na vina hati au ni vya kupima kwa foot pls weka ukubwa wa eneo mkuu
Mkuu Viwanja vipo mfumo wa squatter havina hat lkn vipo kwny Raman ya makaz kwa hyo sasa vina hat inayoandkishwa serikal ya mtaa so biashara tunaandkshana mahakaman au ofis za serikal ya mtaa, viwanja vina ukubwa wa 16m ×18 ambayo n sawasawa na miguu 20×22=3.5mil lkn pia kuna vya ukubwa wa 12m×12m sawa n miguu 16×16=2.5mil
 
Viwanja kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne vinapatkana Kwa ukubwa 20/20
 
Viwanja Kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne vinapatkana ukubwa 20/20 huduma muhim zinapatkana nafas ya mazungumzo ipo kwa muhtaj ambaye yuko serious
Contact; 0656 698232
 
Viwanja Kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne vinapatkana Kwa mkubwa wa 20/20 huduma muhim zinapatkana vipo karibia na secondary ya didas masabur
fbffd6559faffc761c42a46612247d02.jpg
 
Viwanja Kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne vinapatkana Kwa ukubwa 20/20 huduma muhim zinapatkana nafas ya mazungumzo ipo
f90bc9a17512bcc485fd9ed78cd8e4ae.jpg
 
Viwanja Kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne vinapatkana Kwa ukubwa 20/20 huduma muhim zinapatkana
 
Viwanja Kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne vinapatkana chanika kwa ukubwa 20/20 huduma muhim zinapatkana
 
mkuu kiwanja kimepimwa au ndo ile foot za joseph tofauti na ali, mimi natafuta kilichopimwa
 
mkuu kiwanja kimepimwa au ndo ile foot za joseph tofauti na ali, mimi natafuta kilichopimwa
Vimepimwa kwa mfumo wa squatter ni mita 17urfu×17upana ambayo n sawa na miguu 20/20 ya MTU MZIMA pia ukitaka viwanja vilivyopmwa na wizara ya ardh vipo lkn bei yake imechangamka
 
Viwanja Kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne vinapatkana chanika huduma muhim zinapatkana kwa ukaribu nafas ya mazungumzo kweny bei ipo kdgo kwa atakaechukua zaid ya kimoja
8b91e03604e6dc860a815705a1bb85f8.jpg
contact; 0656 698232
 
Ukubwa wa viwanja, umbali kutoka barabara, viwanja vya kupima kutoka kwenye mashamba au vina hati?
Viwanja vimekatwa kwa mfumo wa squatter vina hati tambulish kutoka serikal ya mtaa
 
Ta
Mkuu Viwanja vipo mfumo wa squatter havina hat lkn vipo kwny Raman ya makaz kwa hyo sasa vina hat inayoandkishwa serikal ya mtaa so biashara tunaandkshana mahakaman au ofis za serikal ya mtaa, viwanja vina ukubwa wa 16m ×18 ambayo n sawasawa na miguu 20×22=3.5mil lkn pia kuna vya ukubwa wa 12m×12m sawa n miguu 16×16=2.5mil
Tafadhali kuna kiwanja (chenye hati ya serikali ) na shamba (halina hati siku yoyote serikali inavunja) ayo maeneo unavyonadi ni aina gani? Dalali ebu tufafanulie
 
Back
Top Bottom