Mkuu viwanja hiv vipo kweny Raman ya MAKAZ na vina hati tambulish kutoka serikal ya mtaa havina hatimilik kutoka wizara ya ardh kwa sbb hatujafuatilia hati zaid ya hapo ukija ntakuonyesha Raman ya chanika inayoonyesha sehem za makaz na sehem zisizo za makazTa
Tafadhali kuna kiwanja (chenye hati ya serikali ) na shamba (halina hati siku yoyote serikali inavunja) ayo maeneo unavyonadi ni aina gani? Dalali ebu tufafanulie
Kununua ardhi ao chochote huna milki nacho kisheria ni wendawazimu, sawasawa na umezima mwenyewe akitaka huna mamlakaMkuu viwanja hiv vipo kweny Raman ya MAKAZ na vina hati tambulish kutoka serikal ya mtaa havina hatimilik kutoka wizara ya ardh kwa sbb hatujafuatilia hati zaid ya hapo ukija ntakuonyesha Raman ya chanika inayoonyesha sehem za makaz na sehem zisizo za makaz
Mkuu Nina uzoefu na hii kaz na sikurupuk we karbu nkuonyeshe kaz inavyofanywa na sifanyi Kaz chanika tu nmewauzia watu weng wakubwa na wanaielewa Kaz yangu iko kweny mstari pia ukipata muda njoo ujionee na lesen yangu ya kaz thnx fo interestKununua ardhi ao chochote huna milki nacho kisheria ni wendawazimu, sawasawa na umezima mwenyewe akitaka huna mamlaka
Pia nyongeza ya maneno kdgo n kwamba biashara uandkshaj unaeza fanyka kat ya mahakaman au ofis za serikal ya mtaa n chaguo kwa mtejaKununua ardhi ao chochote huna milki nacho kisheria ni wendawazimu, sawasawa na umezima mwenyewe akitaka huna mamlaka
2.3m!!!! Too good to be true.Viwanja Kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne za kimaendeleo vinapatkana Kwa ukubwa 20/20 hudumu muhim zinapatkana