mslopagaz
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 367
- 36
- Thread starter
- #61
Mkuu viwanja hiv vipo kweny Raman ya MAKAZ na vina hati tambulish kutoka serikal ya mtaa havina hatimilik kutoka wizara ya ardh kwa sbb hatujafuatilia hati zaid ya hapo ukija ntakuonyesha Raman ya chanika inayoonyesha sehem za makaz na sehem zisizo za makazTa
Tafadhali kuna kiwanja (chenye hati ya serikali ) na shamba (halina hati siku yoyote serikali inavunja) ayo maeneo unavyonadi ni aina gani? Dalali ebu tufafanulie