Vina ukubwa ganiWahi Jipaatie kiwanja Fukayosi Bagamoyo,Viwanja vipo umbali wa 1.2km kutoka barabara ya lami unaweza kutembelea viwanja kujiridhisha kisha uchukue maamuzi ya kumiliki ardhi,Viwanja vimepimwa Tuwasiliane kupitia 0625234332+WhatsappView attachment 2315245
20×20 =400sq...Vina ukubwa gani
Vipo vya sqm 400 Hadi 800Vina ukubwa gani
Nakaza hapaFukayosi Kuna fursa gani kimakazi mpaka mkapima ardhi huko?
Fukayosi iko karibu na kiwangwa. Kiwangwa pamechangamka sana kutoka fukayosi to kiwangwa mjini n km 10km .....pia fukayosi haiko mbali sana na Bagamoyo ni 30km .... after 5years patakua pamchangamka sana trust meFukayosi Kuna fursa gani kimakazi mpaka mkapima ardhi huko?
Mkuu kwa bei hiyo mbona ni reasonable tuuKuna maji??kuna umeme?
Punguzeni bei huko bado maporini sana.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ni umbali kiasi gani kutoka Chalinze mjini au Pale Junction Moro-tanga?Jipatie kiwanja vigwaza-Chalinze kwa Tsh 1450kwa sqm 1 ikiwa unalipa Cash na Tsh 1600 kwa sqm1 kwa mkopo wa miezi minne
Hivyo utapata sqm 500 kwa Tsh 725,000/= Cash
sqm 500 kwa Tsh 800,000/= mkopo.
Viwanja vipo umbali wa km 8 kutoka barabara kuu ya morogoro,Vimepimwa na watu walishachukua vimebaki vichache
Huduma zote muhimu zinapatikana KAMA MAJI, UMEME, SHULE, ZAHANATI NK
Tuwasiliane 0625234332+Whatsapp uone ramani ya viwanja
View attachment 2315250
Vipo vya sqm 400 Hadi 800
Fukayosi iko karibu na kiwangwa. Kiwangwa pamechangamka sana kutoka fukayosi to kiwangwa mjini n km 10km .....pia fukayosi haiko mbali sana na Bagamoyo ni 30km .... after 5years patakua pamchangamka sana trust me
Sent using Jamii Forums mobile app
37 kilometersNi umbali kiasi gani kutoka Chalinze mjini au Pale Junction Moro-tanga?
37Km? Sasa huko si tanga kabisa au moro
Ahahaha aah wap mzee37Km? Sasa huko si tanga kabisa au moro
37Km? Sasa huko si tanga kabisa au moro
Sawa kakaKm 37 ni mwendo wa saa moja kwa gari iwapo speed limit ni 40. Sasa sijui ni nn unataka. Au hujui maana ya ardhi?
Sawa KakaAhahaha aah wap mzee
Unatakiwa ujue
Kutoka dsm to chalinze 100km tuu yan kote huko unaweza uka invest mkuu na ushaskia barabara wataitanua
Sent using Jamii Forums mobile app