cluster ndara
JF-Expert Member
- Apr 1, 2018
- 211
- 318
Wakuuu nijulisheni viwanja vya kula bata Niko Dar nimeingia jioni hiii nahitaji kulifaham hili jiji Lakini nitajiwe viwanja vyenye watoto wa Kari toka mikoa Ya Singida, songea, iringa, Moro, Dodoma, na Mwanza ila msinitajiwe viwanja vyenye watoto toka arusha, Kilimanjaro, Tanga na mbeya. Maaana huko nilikotoka nilitahadhalisha kuwa mikoa hiyo wanawake ni wezi hawajui kuduuu pia, hivyo sitaki kuibiwa Mimi nahitaji mnisaidie Kiwanja kikari kabisa kilichonawatoto waxuri wasio wanene Sana wala wembamba Sana na wasiwe wafupi pia rangi sichagui rangi yoyote ile Niko hotel moja iko hapa Sinza shekilango nahitaji baaada Ya kula bata nije na Mtoto tukulane nimle na yeye anile karibuni wakuuu kunijuza