Plot4Sale Viwanja Kigamboni

Plot4Sale Viwanja Kigamboni

Joined
Mar 31, 2016
Posts
44
Reaction score
6
Pata Viwanja vilivyo pimwa na visivyo pimwa, kuanzia square meter 700 adi 5000. na wenye matumizi makubwa ya ardhi ikiwa ni makapuni na watu binafsi tuna Ekari 1 adi 10 sehemu moja.

Viwanja viko kati ya Mwongozo,Dege Eco village na Mwembe mdogo Coco Palm Kigamboni. Bei nikuanzia million 3.5 visivyo pimwa na vilivyo pimwa ni kuanzia 14,000 adi 18,000 kwa square meter.

Simu no. 0746224769
 
Naona Bei aitullii mzeee
Baadhi ya plot zikiuzwa lazima mabadiliko yataonekana. Lakini plot ikiingia mpya lazima mabadiliko yataonekana. Sqm 800 ya Juma Bei yake ni tofauti na sqm 800 ya John. Nadhani umeelewa Bei kwanini zinapaswa kubadilika.
 
Back
Top Bottom