Plot4Sale Viwanja Kigamboni

Plot4Sale Viwanja Kigamboni

Joined
Mar 31, 2016
Posts
44
Reaction score
6
Pata Viwanja Kigamboni kwa bei nafuu, kilometer 18 adi 20 toka Ferry na 0 kilometer adi 2 toka Barabara ya lami, Kumbuka bado siku NNE daraja kufunguliwa, hivyo kusababisha Viwanja kupanda Zaidi. Piga simu no. 0746224769 kwa maelezo Zaidi.
 
Unajuwa hadha inayopatikana kwenye upatikanaji wa maji ya Dawasco? Unajuwa ubambikiwaji wa bili mwisho wa mwezi? Ratiba mbovu ya utolewaji wa maji? Epukana na adha hizo zoote kikubwa ni wasiliana na Tawa Water Proffesional ili wakusaidie kupata kisima chako kwa bei rahisi kabisa. Tawa Water Proffesional ni kampuni bora na inayoongoza katika utoaji wa huduma bora za uchimbaji wa visima na ufungaji wa pampu za maji.Bei zetu ni rahisi saana kupita maelezo. Usidanganyike na matapeli wa mjini watakupa hasara njoo uhudumiwe na watu wenye uzoefu wa hali ya juu katika fani hio.Piga simu namba 0655541948/0628080096Karibuni saana tuwahudumie
 
Bei Za Kigamboni naziogopa habari kamili nenda kawaulize NSSF ndio utajua bei fresh lazima utoke nduki.... million mia nane kwa heka!!!
 
Mkuu weka details za viwanja ulivyonavyo na bei
Square meter 955 na 1200 na 2000 na 3000 na 4900 kila square meter moja ni tsh 14,000 Eneo in katikati ya Mwongozo na Dege kilometer 18 toka ferry.visivyo pimwa ni nikuanzia 30 kwa 30 adi Ekari 10 Bei nimaelewano
 
Back
Top Bottom