Plot4Sale Viwanja Kingamboni Mwasonga

Latoyamrosso

Member
Joined
Oct 26, 2019
Posts
26
Reaction score
12
Kiwanja kilichopimwa kipo Mwasonga, Kigamboni kilometer 30 kutoka ferry, ni kiwanja cha makazi chenye ukubwa wa sqm 712 na sqm 725 kila kimoja nauza kwa million 5 unaruhusiwa kutanguliza Milioni 3 nyingine umalizie ndani ya muda tutakao kubaliana

Vimepimwa na vina hati ukilipa cash unapata hati yako, ukilipa kwa awamu mpaka umalize malipo.

Umeme maji vyote vipo.

Karibuni (sina dalali mimi ndiyo muhusika mkuu)
Mawasiliano yangu ni 0686598829

 
Sawa mkuu ni hela nyingi hiyo lakini afadhali afanye 5 kuna gharama za mwanasheria hapo na za hati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…