Viwanja , mashamba,na fremu za biashra, eneo la mapinga,kerege na kiromo barabara ya bagamoyo

Viwanja , mashamba,na fremu za biashra, eneo la mapinga,kerege na kiromo barabara ya bagamoyo

allicious

Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
41
Reaction score
4
Habari wakuu,
husika na kichwa cha habari hapo juu ,kwa wenye kuhitaji bei ni nzuri kwa maelezo zaidi wasiliana kupitia no 0715 100071 . karibuni
 
20*20 milion 6
20*10 milioni 4.5
20*40 millioni 15
35*70 milioni 17.5
 
Mapinga eneo gani?unafika shule ya kipingu?
 
unapita bunju b na shule ya baobab kituo kinaitwa shule mazungumzo yapo karibuni!
 
wanaita njia panda ya shule ya msingi mtambani

ni karibu na hapo mtambani?
au pale wanapofuga nyoka?
unafika luther girls?
au karibu na simba motors?
au karibu na machimbo ya chumvi?
au ni kule kijijini changwahela karibu na beach?

eleza vizuri isije ikawa unauza maeneo ya watu wewe?
 
ondoeni shaka sio usanii if ur interested jus contact me
 
wakuu bado viwanja vipo, na hata (sea view) kwa wanaohitaji karibuni!
 
Back
Top Bottom