VIWANJA MITA 20 KWA 20 VIPO KISARAWE II KIGAMBONI

Hodar

Member
Joined
Oct 27, 2018
Posts
16
Reaction score
8
Viwanja mita 20 kwa 20 vinauzwa Kisarawe II Kigamboni vimepakana na barabara mpya iliyochongwa toka Kisarawe II kwenda Mwapemba, bei tsh 2,000,000/- tu, simu 0754295159. Unaweza kulipa nusu, ukamalizia kiasi kilichobaki ndani ya mwezi mmoja.
 
Viwanja mita 20 kwa 20 vinauzwa Kisarawe II Kigamboni vimepakana na barabara mpya iliyochongwa, bei tsh 2,000,000/- tu, simu 0754295159. Unaweza kulipa nusu, ukamalizia kiasi kilichobaki ndani ya mwezi mmoja.
1) Barabara mpya iliyochongwa ya kutoka wapi kwenda wapi?
2) Mara nyingi Viwanja vya Kigamboni watu hupenda kuweka umbali from ferry.
3) Maji, Umeme viko umbali gani from Viwanja?
 
1) Barabara mpya iliyochongwa ya kutoka wapi kwenda wapi?
2) Mara nyingi Viwanja vya Kigamboni watu hupenda kuweka umbali from ferry.
3) Maji, Umeme viko umbali gani from Viwanja?
Barabara iliyochongwa toka Mwapemba kwenda Kisarawe II. Mpira unaosambaza maji uko mita 150, umeme uko mita 200. Eneo ni karibu na shule ya Anna Makinda, kilometa 1 toka Mikwambe stendi.
 
mkuu bado viwanja vipo? na ni km ngapi kutoka ferry? na maongezi yapo? ni hayo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…