Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1) Barabara mpya iliyochongwa ya kutoka wapi kwenda wapi?Viwanja mita 20 kwa 20 vinauzwa Kisarawe II Kigamboni vimepakana na barabara mpya iliyochongwa, bei tsh 2,000,000/- tu, simu 0754295159. Unaweza kulipa nusu, ukamalizia kiasi kilichobaki ndani ya mwezi mmoja.
Barabara iliyochongwa toka Mwapemba kwenda Kisarawe II. Mpira unaosambaza maji uko mita 150, umeme uko mita 200. Eneo ni karibu na shule ya Anna Makinda, kilometa 1 toka Mikwambe stendi.1) Barabara mpya iliyochongwa ya kutoka wapi kwenda wapi?
2) Mara nyingi Viwanja vya Kigamboni watu hupenda kuweka umbali from ferry.
3) Maji, Umeme viko umbali gani from Viwanja?