Plot4Sale Viwanja Mkonze- Dodoma

Plot4Sale Viwanja Mkonze- Dodoma

Tonigawa

Member
Joined
May 24, 2018
Posts
13
Reaction score
5
Viwanja havijapimwa vinapatikana Mkonze Dodoma mjini kilomita 10 kutoka mjini na ni kilomita 1 kutoka barabara ya lami. Ukubwa ni mita za mraba 600, bei ni milioni 1.6. Mawasiliano 0758 004 568, karibuni nyote.
 
Havijapimwa! Sasa si lazima ujue master plan ya Jiji inasemaje? Hizo plots za Sq 600 umezipataje bila kupima. Suala la miundombinu kama barabara na maeneo ya huduma za Jamii lipoje?
 
Eneo ni la makazi na kuna makazi tayari. Eneo linafikika wa barabara za mtaa- feeder roads. Na Jiji lipo kwenye hatua za kurasimisha makazi hayo
 
Back
Top Bottom