leonard ngobole
Member
- Jun 11, 2011
- 83
- 49
Habari wadau wa jamii forum, napenda kuwapa taarifa kwamba kuna viwanja vinauzwa maeneo ya kigamboni pande za kimbiji, cha kwanza kina heka tano na nusu hili ni eneo ambalo lipo karibu mwa bahari ni kwa ajili ya kujenga beach,, Eneo lingine lipo mwasonga lina heka kumi na nane (18) lina minazi na mikorosho,,na linginelipo pembezoni mwa barabara kabisaa, lina heka saba (7),,,

Maeneo haya yana hati miliki kabisa,, hivyo kwa mawasiliano zaidi kwa ajili ya kuyaona maeneo hayo na bei zake piga simu namba 0719030490 au ujumbe kwa barua pepe: [email protected].

Maeneo haya yana hati miliki kabisa,, hivyo kwa mawasiliano zaidi kwa ajili ya kuyaona maeneo hayo na bei zake piga simu namba 0719030490 au ujumbe kwa barua pepe: [email protected].