Viwanja na eneo la beach linauzwa maeneo ya kigamboni.

Joined
Jun 11, 2011
Posts
83
Reaction score
49
Habari wadau wa jamii forum, napenda kuwapa taarifa kwamba kuna viwanja vinauzwa maeneo ya kigamboni pande za kimbiji, cha kwanza kina heka tano na nusu hili ni eneo ambalo lipo karibu mwa bahari ni kwa ajili ya kujenga beach,, Eneo lingine lipo mwasonga lina heka kumi na nane (18) lina minazi na mikorosho,,na linginelipo pembezoni mwa barabara kabisaa, lina heka saba (7),,,

Maeneo haya yana hati miliki kabisa,, hivyo kwa mawasiliano zaidi kwa ajili ya kuyaona maeneo hayo na bei zake piga simu namba 0719030490 au ujumbe kwa barua pepe: leonardngobole@gmail.com.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…