Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
25mita urefu na 10 mita upana na inapimwa na kamba maalum nivizuri uje ukaone .25x 10 ni nn miguu, futi, meter au nn vipimo vinakuwa in standard units chief jaribu kuweka vipimo hapo
Hii ni namba yako niitunze?0699227942
Kwa uuzaji wa mashamba ni sawaHii ni namba yako niitunze?
Wee hutaki kiwanja mkuu?Karibuni wateja wetu viwanja na mashamba Arusha , tunamaji ya chai kikatiti , king'ori na East Africa.
Viwanja ni vya bei nafuu.
Unaweza kununua au kulipa kwa awamu.
Ila kuna kiwanja muungano kiseriani kinauzaa ml 3 ni 25 urefu upana ni 10 nikizuri kwa kujenga kina punguzo ya laki moja tu.
Kwa walioserious nipigie 0699227942 .
Chapu ukawahie bahati yako , uridhi wako.
View attachment 2823500
Unataka kuninunulia karibuWee hutaki kiwanja mkuu?
Niungishe basi??Ahsante kwa taarifa...
Mimi pia nauza kiwanja kipo Dar es salaam Bunju A.Unataka kuninunulia karibu
Nifanyaje??Mimi pia nauza kiwanja kipo Dar es salaam Bunju A.
Karibu sana.