Yasintajohn56
Member
- Jul 26, 2022
- 25
- 50
Unasema hauwezi kupewa hati kwa kiwanja cha 400sqm kuna Sheria au By laws inayokataza!!!
hebu fafanua hapo mkuu sijakuelewa , 20*20 maana ake si ndio 400sqm auHakuna katazo la kiwanja cha sqm 400 sheria inaruhusu had sqm90 kwa squatter issue n 20*20
hebu fafanua hapo mkuu sijakuelewa , 20*20 maana ake si ndio 400sqm au
nimekupata vema , nilikua na wasiwasi mie changu ni 28 x 1520*20 ni sqm 400 ndio ,ila kinachokataliwa ni kiwanja mraba. Kiwanja kinawez kuwa 18*12,16*22 ilimradi kiwe na umbo la mstatili
Hongeranimekupata vema , nilikua na wasiwasi mie changu ni 28 x 15