Viwanja na namna ya kupata hati

Viwanja na namna ya kupata hati

Yasintajohn56

Member
Joined
Jul 26, 2022
Posts
25
Reaction score
50
Habari wana JF napendelea kuuliza kuhusu viwanja. Je ni viwanja gani ambayo unaweza kupata hati mana naona kwa sasa uwezi kupewa hati kwa viwanja vya 20kwa 20.

Naitaji kununua msaada please
 
Unasema hauwezi kupewa hati kwa kiwanja cha 400sqm kuna Sheria au By laws inayokataza!!!
 
Unasema hauwezi kupewa hati kwa kiwanja cha 400sqm kuna Sheria au By laws inayokataza!!!

Hakuna katazo la kiwanja cha sqm 400 sheria inaruhusu had sqm90 kwa squatter issue n 20*20
 
Sasa kama unanunua msaada, sidhani kuna haja ya hati. Ivi kwani kuna hati ya msaada?
 
hebu fafanua hapo mkuu sijakuelewa , 20*20 maana ake si ndio 400sqm au

20*20 ni sqm 400 ndio ,ila kinachokataliwa ni kiwanja mraba. Kiwanja kinawez kuwa 18*12,16*22 ilimradi kiwe na umbo la mstatili
 
20*20 ni sqm 400 ndio ,ila kinachokataliwa ni kiwanja mraba. Kiwanja kinawez kuwa 18*12,16*22 ilimradi kiwe na umbo la mstatili
nimekupata vema , nilikua na wasiwasi mie changu ni 28 x 15
 
Back
Top Bottom