House4Sale Viwanja na nyumba za wadaiwa akiba Commercial Bank zinauzwa kwa mnada

Caryceo

Member
Joined
Oct 16, 2019
Posts
21
Reaction score
18
HABARI Karibu MUDU COMPANY LTD Located at Mbezi Beach samaki wabichi house 2nd floor Ni kampuni ya debt collection ,auctions and real estates tunauza. Nyumba na viwanja mbalimbali Maeneo tofauti ndani ya Dar kwa mnada kwa idhini ya benki ya Akiba Commercial Benki na Kibali Cha Mkuu wa wilaya.#contact 0767605586.













 
hizi mali mpaka uongee na mhusika mwenye mali vingenevo unaweza kuishia kuitazama na ikawa kwa heri.
 
Mikopo ya Tz ni laana, bora upate 200 zako kuliko kwenda kuchukua 10m bank, BTW hapo hakuna cha uchawi wala nin, ikiuzwa imeuzwa utajitahidi uroge lkn wapo wachawi zaidi yako
 
Bora uongee kwanza na mwenye nyumba upate ridhaa yake kwamba yeye angependa apate angalau bei gani.sababu kuna machozi hapo yatamtoka kuikosa nyumba aliyoisotea kuijenga halafu benk waiuze kwa nusu gharama.Mikopo ni hatari sana usipojua sayansi yake.Hasa kama unategemea marejesho kupitia biashara.
 
Mikopo ni utumwa aina ya utumwa wa hiyari utumwa wa lazima. Yanakondesha yanafanya akili isimame yanaleta uadui yanaleta mafarakano kwa ndugu yanatajirisha wakopeshaji yanafilisi wakopaji

all in all hayajawahi kuwa na faida kwa mkopaji hata kama matajiri wakubwa wanakopa ujue ni kulinda biashara zisiporomoke. Unaenda kukupo wakati huna unategemea utaitoa wapi ya kurudisha?
 
Pole yao kwa kwakweli maisha haya fomular ikikugeuka mmm maji utaita mma.
 
Hii nyumba no mbili ipo mitaa gani??
 

Kiwanja kipo wapi, ukubwa wake na bei ya kuanzia tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…