Polisi jamii
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 2,604
- 1,381
HILI NI JIPU NA UJIANGALIE NA HIYO BEI YAKO UTAWEKWA RUMANDE MUDA WOWOTE TOKA SASA MAANA KUNA BEI ELEKEZI KUTOKA SERIKALINI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HILI NI JIPU NA UJIANGALIE NA HIYO BEI YAKO UTAWEKWA RUMANDE MUDA WOWOTE TOKA SASA MAANA KUNA BEI ELEKEZI KUTOKA SERIKALINI
kwa magufuli mtaenda na bei zenu za ujanjaujanjaNingumu kumuweka Rumande Lugumi.
Mkuu kwani ugomvi,nenda Tandale kwa mfuga mbwa bei imepoaMkuu sq metre 22,000 nani kaidhinisha hii bei?
Ok....je kiwanja cha 20x20 au 20x30 ni sawa na bei gani? Sina utaalamu sana na hayo mambo ya vipimo, tafadhali nielekezeViwanja Vipya NHC Kigamboni Mwongozo Dongwe palm. square meter 750 adi 1600. Kilometer 17 toka ferry, nani mita 100 toka NHC housing pia ni mita 200 toka baharini. Bei ni 22,000 kwa sqm.
Wasiliana nasi simu no.0746224769
Je sqm 750 unaweza kuielezea ikoje? Kwa mtu asiejua vzr hayo mahesabu? Plz nisaidie kuelewaKwenye tangazo ili hakuna 20 kwa 20 kuna square meter kuanzia 750
Ungekuwa wewe mwenyewe ningekuekeza kwa MTU asiejua sasa hapo nikieleza atajuwaje?Je sqm 750 unaweza kuielezea ikoje? Kwa mtu asiejua vzr hayo mahesabu? Plz nisaidie kuelewa
kwa magufuli mtaenda na bei zenu za ujanjaujanja
Kwa sasa hatuna Kiwanja cha 20 kwa 20 so Bei ni kazi bureOk....je kiwanja cha 20x20 au 20x30 ni sawa na bei gani? Sina utaalamu sana na hayo mambo ya vipimo, tafadhali nielekeze
Je hicho cha bei ya chini[ulisema 6m] kina upana na urefu gani?Kwa sasa hatuna Kiwanja cha 20 kwa 20 so Bei ni kazi bure
Je hicho cha bei ya chini[ulisema 6m] kina upana na urefu gani?