Yeye kiwanja chake kipo sehemu gani?kuna mtu ZAMANI alikuwa na hela akafilisika.,sasa akanitafuta na kuuliza kama nataka kiwanja.
Akaniambia niulize bei ni mwambie.
Sasa kabla sijashika pesa siwezi kwenda kuangalia viwanja..
Kwa maeneo ya mbezi mpaka kibaha.naweza pata kiwanja kwa bei Gani.kisiwe bei sana. Huyu mtu namuona kabisa uchumi wake haujakaa sawa.
1ml mpaka 2ml.
Njoo na 1trn nikupe kiwanja 60mx60m mbezi beachkuna mtu ZAMANI alikuwa na hela akafilisika.,sasa akanitafuta na kuuliza kama nataka kiwanja.
Akaniambia niulize bei ni mwambie.
Sasa kabla sijashika pesa siwezi kwenda kuangalia viwanja..
Kwa maeneo ya mbezi mpaka kibaha.naweza pata kiwanja kwa bei Gani.kisiwe bei sana. Huyu mtu namuona kabisa uchumi wake haujakaa sawa.
1ml mpaka 2ml.
Kama ni 1m nenda maneromango huko.Naongelea 1ml.unaniambia trn mkuu are you serious kweli 🙌 🤣