Viwanja Ponde kwa Pinda bado havijanunuliwa, karibuni, they are nice plots

Notifier

Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
91
Reaction score
12
1) Kiwanja chenye square metre 900, sifa zake ni kama ifatavyo.....

  • Kiko umbali 0.5 km kutoka barabara kuu itakayo kigamboni kwenda Kongowe.
  • kiko mita 50 kutoka barabara ndogo za mtaa.
  • Umeme namaji vipo.
  • Maeneo yamejengeka na yanakaendelea kujengeka.

Bei ni shilingi million 7,500,000.j

2) Kiwanja chenye square metre 800, sifa zake ni kama ifuatavyo.....

  • Kiko umbali 0.6 km kutoka barabara kuu itakayo kigamboni kwenda Kongowe.
  • kiko mita chache sana kutoka barabara ndogo za mtaa.
  • Umeme na maji vipo.
  • Maeneo yamejengeka na yanakaendelea kujengeka.

Bei ni shilingi million 7,500,000 na kipo sehemu nzuri zaidi ya hicho cha kwanza.

Picha ni kama inavyoonekana hapo chini.

Viwanja havijapimwa ila ni vizuri kabisa hutajutia kununua.Wakuu viwanja hivi bado vipo.....kwa muhitaji tafadhali ni-PM
 
Wakuu acheni uzito kwenye immovable assets.
Magari ni vipodozi tu......!
 
Wakuu karibuni, bado viwanja vipo at your disposal, only your decision to but it is needed.
 
Offer yangu 4m kama upo fresh ni PM nataka hiko cha sqm 900.
 
Wakuu viwanja hivi bado vipo karibuni

Mkuu vuta subira viwanja haviuzwi kwamba ukitangaza leo tu kesho ushapata mteja haviendi hivyo weka hata miezi mi2 ukitaka papala utakuja uza milioni 2.
 
Mkuu vuta subira viwanja haviuzwi kwamba ukitangaza leo tu kesho ushapata mteja haviendi hivyo weka hata miezi mi2 ukitaka papala utakuja uza milioni 2.
Kikawaida adverts haina limit wala muda wakuifanya, cha msingi expenses zisizidi ika-ofset profit.
adverts lazima ziendelee ila bei haishuki zaidi inapanda with time, ndo tabia ya land.
 
Sorry, Boss bei ni 7.5 tu!
Can i try find one for you with that figure?

can I get one with that figure, kama unajua na ukubwa plzzzz ntashukuru, nnataka sana kiwanja maeneo ya huko ila pesa yangu sio ndefu kihivyo
 
can I get one with that figure, kama unajua na ukubwa plzzzz ntashukuru, nnataka sana kiwanja maeneo ya huko ila pesa yangu sio ndefu kihivyo
This is what we call business, how much do you have so that utafutiwe kulingana na nguvu yako?
 
can I get one with that figure, kama unajua na ukubwa plzzzz ntashukuru, nnataka sana kiwanja maeneo ya huko ila pesa yangu sio ndefu kihivyo
Nilivyovipata ni.....
  1. Million 4 kina urefu wa 20 kwa 15, mita 25 kutoka barabara ya mtaa na 0.5 km kutoka barabara kuu.
  2. Million 3.5 kina urefu wa 18 kwa 15, mita 500 kutoka barabara ya mtaa na 1 km kutoka barabara kuu.
Natumaini hapo unaweza kuchagua kimoja, kuviona inaruhusiwa mkuu be free.
Vyote hivi vipo ponde kigamboni karibu na fun city.
 
karibuni wakuuu, bado vipo

Mkuu nilisahau kukuuliza hivyo viwanja vipo sehemu gani hasa hapo ponde? Ni pale kwenye kanisa fun city au kule chini kwa kina bibi nyakufi au kwa pinda kabisa mkulima pub?
 
Mkuu nilisahau kukuuliza hivyo viwanja vipo sehemu gani hasa hapo ponde? Ni pale kwenye kanisa fun city au kule chini kwa kina bibi nyakufi au kwa pinda kabisa mkulima pub?
unashukia pale kwenye kibao cha kwenda mkulima vocation centre unashuka na ile barabara kama 0.5 km to 1 km.
 
unashukia pale kwenye kibao cha kwenda mkulima vocation centre unashuka na ile barabara kama 0.5 km to 1 km.

Ni sehemu gani hasa? Maana ukishuka pale kwenye bango la mkulima kuna uzio wa senyenge mbele kuna uwanja wa mpira nadhani kwa sasa hautumiki ushauzwa then unaelekea wapi? maana upande wa kushoto ukitelemka ni kwa chacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…