Habari ya leo ndugu zangu....!
Ninaendelea kiwashukru wote mnaoniunga mkono katika shughuli hii.Wengine Kwa faraja ya maneno na wengine Kwa kununua viwanja.
Ahsante sana Kwa wale waliofika na kutembelea site zetu pia,hata kama hukupata nafasi ya kununua Kwa wakati huo,Nina Imani Kuna siku utafanya hivyo.
Kwa Sasa viwanja vyetu vilivyoko Kisesa kigungumuli unavipata Kwa shilingi milioni Moja tu ya kitanzania.Vimebaki viwanja vinne tu vyenye ukubwa wa 20×20.
Wahi offer hii umilike eneo lako.
Nipigie Moja Kwa Moja kupitia 0674348222 au fika ofsini Kishili Mkabala na Kanisa la AICT Kishili.