Mtanzania haswa
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 663
- 100
Ndugu wana JF.....
Wakuu habari za majukumu ya taifa hili letu....
kuna viwanja vitatu vyenye ukubwa wa kuanzia mita za mraba 1000 ila hazifiki 2000m2 ...vipo karibu na jeshi (Ubungo External) na kila mita 1 ya mraba ni shilingi za kitanzania 8500, vipo kwenye hatua ya upimaji hivyo kwa yeyote anayehitaji tafadhali tuwasiliane kwa namba 0713 348165...for visit
ni hayo tu
bei hiyo ni reasonable kabisa tena ya chini kwa kiwanja cha mjini jamani.
ndugu wana jf.....
Wakuu habari za majukumu ya taifa hili letu....
Kuna viwanja vitatu vyenye ukubwa wa kuanzia mita za mraba 1000 ila hazifiki 2000m2 ...vipo karibu na jeshi (ubungo external) na kila mita 1 ya mraba ni shilingi za kitanzania 8500, vipo kwenye hatua ya upimaji hivyo kwa yeyote anayehitaji tafadhali tuwasiliane kwa namba 0713 348165...for visit
ni hayo tu
Mkuu ardhi haijafika thamani hiyo, - Nawashauri watu watoke nje ya mji lets say 40km off town, unapapta eneo kubwaa unalipimisha na unakaa kwa amani. Watu wanjanja hawakai wamebanana mjini kutafuta nini?
Hizo 15m unapata heka moja na unafanya survey na change inabaki - weka solar na maji - baaada ya miaka 5 tu utapata majirani.
Njooni Kimbiji mjiunge na mimi.
Ndugu wana JF.....
Wakuu habari za majukumu ya taifa hili letu....
kuna viwanja vitatu vyenye ukubwa wa kuanzia mita za mraba 1000 ila hazifiki 2000m2 ...vipo karibu na jeshi (Ubungo External) na kila mita 1 ya mraba ni shilingi za kitanzania 8500, vipo kwenye hatua ya upimaji hivyo kwa yeyote anayehitaji tafadhali tuwasiliane kwa namba 0713 348165...for visit
ni hayo tu
Tatizo la hawa jamaa ni umajununi wao, mwaka juzi walifunga njia/barabara inayopita kwao kuelekea kisukulu kupitia maji chumvi kisa mjeshi kaibiwa kuku, baadae wakafungua, halafu wakafunga tena kwa sababu ndugu wa mwanajeshi kagongwa. Siku moja ulipita mkong`oto eneo lote lile kwa vijana kwa sababu mjeshi kapoteza buti. Kuwa makini,ila viwanja vya mitaa ile ni vizuri. Shida ni hao wajuba.