newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,385
- 568
mkuu Elnino,
nina sehemu Dege.kumbe naweza hamia kama wewe upo kimbiji mimi wa dege bado nasuasua ktk foleni za bwagamoyo Road 🙁 ngoja nijange niachane na zogo la foleni za dar ukizingatia mafuta yanapanda kila siku

Mkuu ardhi haijafika thamani hiyo, - Nawashauri watu watoke nje ya mji lets say 40km off town, unapapta eneo kubwaa unalipimisha na unakaa kwa amani. Watu wanjanja hawakai wamebanana mjini kutafuta nini?
Hizo 15m unapata heka moja na unafanya survey na change inabaki - weka solar na maji - baaada ya miaka 5 tu utapata majirani.
Njooni Kimbiji mjiunge na mimi.