Mkuu ardhi haijafika thamani hiyo, - Nawashauri watu watoke nje ya mji lets say 40km off town, unapapta eneo kubwaa unalipimisha na unakaa kwa amani. Watu wanjanja hawakai wamebanana mjini kutafuta nini?
Hizo 15m unapata heka moja na unafanya survey na change inabaki - weka solar na maji - baaada ya miaka 5 tu utapata majirani.
Njooni Kimbiji mjiunge na mimi.