Plot4Sale Viwanja vilivyopimwa Goba vinauzwa

Plot4Sale Viwanja vilivyopimwa Goba vinauzwa

Viwanja vipo Kilometer1.2 kutoka stedi ya daladala ya Goba. Viwanja vimepimwa kama ifuatavyo:--
Ukubwa 20M×20M (SQM 400)-Bei 10Milioni
Ukubwa 20M×40M (SQM 800)-Bei 20Milioni
Ukubwa 30M×40M (SQM 1200)-Bei 30Milioni. Maelewano Yapo Mawasiliano: 0752953860.
Cha 30x40 kwa mil 12 unachukua?
 
Kwani hicho ulichoweka bei hapo ni bagamoyo? Bagamoyo napata maekari na maekari kwa mil 12

Somo hapo nikwamba, bei ni kama nilivyo andika kwa viwanja ivyo vya Goba. Ukitaka kwa Ukubwa unaotaka wewe kwa iyo bei yako Haiwezekani, ndiyo maana nikakupa option nyingine ni 'bagamoyo Mapinga' unapata kwa 12mil kwa ukubwa unaotaka.
 
Back
Top Bottom