Viwanja Promo Tz
New Member
- Sep 7, 2024
- 1
- 0
Karibu kwenye mradi wetu mpya uliopo BAGAMOYO, FUKAYOSI, Mradi huu upo umbali wa 2km kutoka Bagamoyo-Msata road.
MRADI HUU UKO FULL SURVEYED✅✅
Bei ya 1 SQM ni 3,800 tu kwa viwanja vya Makazi na 4,500 Kwa viwanja vya makazi na Biashara , na viwanja vyetu vimepimwa na kupata Bicon kutoka wizarani.Mradi unafikika Kwa urahisi mno kwakua ipo barabara inayokuleta hadi site.
Utakapolipia kiwanja utapata HATI YA WIZARA ndani ya miezi mitatu tu, Viwanja ni vichache sana wahi Mapemaa...
NB: Viwanja vilivyo na maandishi ya CR ni Viwanja vya Makazi na Biashara
Pia unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba hizo hapo chiniKaribu ofisini kwetu Ubungo external, Mshikamano street.
Call or WhatsApp 0698 718 260.