Viwanja vimepimwa vinauzwa Mbezi kwa Msuguri

Viwanja vimepimwa vinauzwa Mbezi kwa Msuguri

Erick_Otieno

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2010
Posts
624
Reaction score
1,030
Viwanja vya makazi vyenye ukubwa wa mita 30 X 15 vinauzwa eneo la Mbezi kwa Msuguri, wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam.


  • Viwanja vimeshapimwa na huduma za maji, barabara na umeme zinapatikana.
  • Vipo umbali wa mita 200 kutoka kituo cha basi cha kwa Msuguri, barabara ya Morogoro. Jirani na hospitali ya Bochi
  • Bei inaanzia shillingi milioni kumi (10,000,000/=).
  • Kwa maelezo zaidi wasiliana na Prosper simu no. 0765868128
 
Vimepimwa, kwa hiyo vina hati?
Nikupe Mil 6 kama hakina hati Au Mil 7.5 kama kina hati Mkuu?
 
Vimepimwa, kwa hiyo vina hati?
Nikupe Mil 6 kama hakina hati Au Mil 7.5 kama kina hati Mkuu?

Mkuu havina hati na vimebakia vitatu. Ni eneo zuri kwa makazi tulivu. Nimeambatanisha picha ya eneo la viwanja. Karibu sana uje utembelee.
 

Attachments

  • Viwanja1.JPG
    Viwanja1.JPG
    158.7 KB · Views: 152
  • Viwanja2.JPG
    Viwanja2.JPG
    147 KB · Views: 148
  • Viwanja3.JPG
    Viwanja3.JPG
    180.8 KB · Views: 138
  • Viwanja4.JPG
    Viwanja4.JPG
    164.8 KB · Views: 140
  • Viwanja6.JPG
    Viwanja6.JPG
    176.5 KB · Views: 145
Back
Top Bottom