Erick_Otieno JF-Expert Member Joined Mar 28, 2010 Posts 624 Reaction score 1,030 Aug 6, 2014 #1 Viwanja vya makazi vyenye ukubwa wa mita 30 X 15 vinauzwa eneo la Mbezi kwa Msuguri, wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam. Viwanja vimeshapimwa na huduma za maji, barabara na umeme zinapatikana. Vipo umbali wa mita 200 kutoka kituo cha basi cha kwa Msuguri, barabara ya Morogoro. Jirani na hospitali ya Bochi Bei inaanzia shillingi milioni kumi (10,000,000/=). Kwa maelezo zaidi wasiliana na Prosper simu no. 0765868128
Viwanja vya makazi vyenye ukubwa wa mita 30 X 15 vinauzwa eneo la Mbezi kwa Msuguri, wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam. Viwanja vimeshapimwa na huduma za maji, barabara na umeme zinapatikana. Vipo umbali wa mita 200 kutoka kituo cha basi cha kwa Msuguri, barabara ya Morogoro. Jirani na hospitali ya Bochi Bei inaanzia shillingi milioni kumi (10,000,000/=). Kwa maelezo zaidi wasiliana na Prosper simu no. 0765868128
TANMO Platinum Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,199 Reaction score 13,029 Aug 6, 2014 #2 Vimepimwa, kwa hiyo vina hati? Nikupe Mil 6 kama hakina hati Au Mil 7.5 kama kina hati Mkuu?
Erick_Otieno JF-Expert Member Joined Mar 28, 2010 Posts 624 Reaction score 1,030 Aug 7, 2014 Thread starter #3 TANMO said: Vimepimwa, kwa hiyo vina hati? Nikupe Mil 6 kama hakina hati Au Mil 7.5 kama kina hati Mkuu? Click to expand... Mkuu havina hati na vimebakia vitatu. Ni eneo zuri kwa makazi tulivu. Nimeambatanisha picha ya eneo la viwanja. Karibu sana uje utembelee. Attachments Viwanja1.JPG 158.7 KB · Views: 152 Viwanja2.JPG 147 KB · Views: 148 Viwanja3.JPG 180.8 KB · Views: 138 Viwanja4.JPG 164.8 KB · Views: 140 Viwanja6.JPG 176.5 KB · Views: 145
TANMO said: Vimepimwa, kwa hiyo vina hati? Nikupe Mil 6 kama hakina hati Au Mil 7.5 kama kina hati Mkuu? Click to expand... Mkuu havina hati na vimebakia vitatu. Ni eneo zuri kwa makazi tulivu. Nimeambatanisha picha ya eneo la viwanja. Karibu sana uje utembelee.