KIMARA BRIDGE
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 262
- 270
bro unapimaje umbali kwa dakika? nilivyofundishwa ni kwa cm, meter, km,mile. basi niambie na nikitembea kwa miguu ni masaa mangapi?Kwa daladala maxmum dk30-40 ila kwa private car dk 20-30
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bro unapimaje umbali kwa dakika? nilivyofundishwa ni kwa cm, meter, km,mile. basi niambie na nikitembea kwa miguu ni masaa mangapi?Kwa daladala maxmum dk30-40 ila kwa private car dk 20-30
bro unapimaje umbali kwa dakika? nilivyofundishwa ni kwa cm, meter, km,mile. basi niambie na nikitembea kwa miguu ni masaa mangapi?
kaka asanteNakujibu kutoka na uhakika nilionao siwez kukujibu kwa miguu masaa mangap kwasababu sijawai ila nmekupa masaa kwasababu huwa nikienda sehem huwa naset mda na ndio nmekujib kutokana na uhakika niliokuwa nao
kaka asante