2015ready JF-Expert Member Joined Feb 15, 2011 Posts 376 Reaction score 138 Sep 18, 2022 #1 Habari wadau wa Maendeleo. Nauza Viwanja. Vipo Bagamoyo njia ya kwenda Msata, eneo la FUKAYOSE. Bei ni Tshs 5,500 kwa square meter moja. Viwanja vimepimwa tayari na vipo kilometers 1.5 kutoka barabarani. Kwa mawasiliano piga namba 0767460356
Habari wadau wa Maendeleo. Nauza Viwanja. Vipo Bagamoyo njia ya kwenda Msata, eneo la FUKAYOSE. Bei ni Tshs 5,500 kwa square meter moja. Viwanja vimepimwa tayari na vipo kilometers 1.5 kutoka barabarani. Kwa mawasiliano piga namba 0767460356
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 6,585 Reaction score 10,363 Sep 25, 2022 #2 Tutumie na hiyo survey map ya hvyo viwanja vilivyopimwa Sent using Jamii Forums mobile app